Yobu 9:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Tazama, yuaenda karibu nami, nisimwone; Tena yuapita kwenda mbele, nisimtambue. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Loo! Hupita karibu nami nisimwone, kisha huenda zake bila ya mimi kumtambua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Loo! Hupita karibu nami nisimwone, kisha huenda zake bila ya mimi kumtambua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Loo! Hupita karibu nami nisimwone, kisha huenda zake bila ya mimi kumtambua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Anapopita karibu nami, siwezi kumwona; apitapo mbele yangu, simtambui. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Anapopita karibu nami, siwezi kumwona; apitapo mbele yangu, simtambui. Tazama sura |