Yobu 8:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 (Kwani sisi tu wa jana tu, wala hatujui neno, Kwa kuwa siku zetu duniani ni kivuli tu;) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Sisi ni watu wa juzijuzi tu, hatujui kitu; siku zetu duniani ni kivuli kipitacho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Sisi ni watu wa juzijuzi tu, hatujui kitu; siku zetu duniani ni kivuli kipitacho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Sisi ni watu wa juzijuzi tu, hatujui kitu; siku zetu duniani ni kivuli kipitacho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote, nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote, nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu. Tazama sura |