Yobu 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Kwamba watoto wako wamemfanyia dhambi, Naye amewatia mkononi mwa kosa lao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kama watoto wako wamemkosea Mungu, yeye amewalipiza matokeo ya uhalifu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kama watoto wako wamemkosea Mungu, yeye amewalipiza matokeo ya uhalifu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kama watoto wako wamemkosea Mungu, yeye amewalipiza matokeo ya uhalifu wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Watoto wako walipomtenda dhambi, aliwapa adhabu ya dhambi yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Watoto wako walipomtenda dhambi, aliwapa adhabu ya dhambi yao. Tazama sura |
Basi ilikuwa, hapo hizo siku za karamu zao zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao akawatakasa, kisha akaamka asubuhi na mapema, na kusongeza sadaka za kuteketezwa kama hesabu yao wote ilivyokuwa; kwani Ayubu alisema, Pengine hawa wanangu wamefanya dhambi, na kumkufuru Mungu mioyoni mwao. Ndivyo alivyofanya Ayubu sikuzote.