Yobu 8:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Tazama, furaha ya njia yake ni hii, Na wengine watachipuka kutoka katika nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Tazama, huo ndio mwisho wa furaha ya mtu huyo, na mahali pao patachipua wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Tazama, huo ndio mwisho wa furaha ya mtu huyo, na mahali pao patachipua wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Tazama, huo ndio mwisho wa furaha ya mtu huyo, na mahali pao patachipua wengine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Hakika uhai wake hunyauka, na kutoka udongoni mimea mingine huota. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Hakika uhai wake hunyauka, na kutoka udongoni mimea mingine huota. Tazama sura |