Yobu 8:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Uthabiti wake utavunjika, Na matumaini yake huwa ni utando wa buibui. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Tegemeo lao huvunjikavunjika, tumaini lao ni utando wa buibui. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Tegemeo lao huvunjikavunjika, tumaini lao ni utando wa buibui. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Tegemeo lao huvunjikavunjika, tumaini lao ni utando wa buibui. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lile analolitumainia huvunjika upesi; lile analolitegemea ni utando wa buibui. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lile analolitumainia huvunjika upesi; lile analolitegemea ni utando wa buibui. Tazama sura |