Yobu 8:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Je! Hawatakufunza wao, na kukueleza, Na kutamka maneno yatokayo mioyoni mwao? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Lakini wao watakufunza na kukuambia, mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Lakini wao watakufunza na kukuambia, mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Lakini wao watakufunza na kukuambia, mambo waliyopata kuyatoa katika maarifa yao: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Je, hawatakufundisha na kukueleza? Je, hawataleta maneno ya ufahamu wao? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Je, hawatakufundisha na kukueleza? Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao? Tazama sura |