Yobu 7:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kama vile wingu likomavyo na kutoweka, Ndivyo alivyo huyo ashukaye kuzimuni, hatazuka tena kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kama wingu lififiavyo na kutoweka ndivyo nao watu washukavyo kuzimu bila kurudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kama wingu lififiavyo na kutoweka ndivyo nao watu washukavyo kuzimu bila kurudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kama wingu lififiavyo na kutoweka ndivyo nao watu washukavyo kuzimu bila kurudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini harudi tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini harudi tena. Tazama sura |