Yobu 7:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Je! Mtu hana huduma ngumu juu ya nchi? Na siku zake, je! Si kama siku za mwajiriwa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Binadamu anayo magumu duniani, na siku zake ni kama siku za kibarua! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Binadamu anayo magumu duniani, na siku zake ni kama siku za kibarua! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Binadamu anayo magumu duniani, na siku zake ni kama siku za kibarua! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 “Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 “Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa? Tazama sura |