Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 6:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Je! Mna udhalimu ulimini mwangu? Je! Makaakaa yangu hayatambui mambo ya madhara?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Je, mnadhani kwamba nimesema uovu? Je, mnafikiri mimi siyatambui machungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Je, mnadhani kwamba nimesema uovu? Je, mnafikiri mimi siyatambui machungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Je, mnadhani kwamba nimesema uovu? Je, mnafikiri mimi siyatambui machungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Je, pana uovu wowote mdomoni mwangu? Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Je, pana uovu wowote midomoni mwangu? Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?

Tazama sura Nakili




Yobu 6:30
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akaitambua, akasema, Ndiyo kanzu ya mwanangu, mnyama mkali amemla; bila shaka Yusufu ameraruliwa.


Kwa kuwa wewe wasema, Mafunzo yangu ni safi, Nami ni safi machoni pako.


Je! Sikio silo lijaribulo maneno, Kama vile kaakaa lionjavyo chakula?


Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno, Kama vile kaakaa lionjavyo chakula.


Je! Kitu kisicho na ladha chaweza kulika bila chumvi? Au je, uto wa yai una tamu iwayo yote?


Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoeshwa kupambanua mema na mabaya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo