Yobu 6:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Kwa kuwa sasa ungekuwa mzito kuliko mchanga wa bahari; Kwa hiyo maneno yangu yamekuwa ya haraka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yangekuwa mazito kuliko mchanga wa pwani. Ndio maana maneno yangu ni ya kuropoka! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yangekuwa mazito kuliko mchanga wa pwani. Ndio maana maneno yangu ni ya kuropoka! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yangekuwa mazito kuliko mchanga wa pwani. Ndio maana maneno yangu ni ya kuropoka! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. Tazama sura |