Yobu 6:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Rudini, nawasihi, lisiwe neno la udhalimu; Naam, rudini tena, neno langu ni la haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Acheni tafadhali, kusiwe na uovu; acheni sasa, kwani mimi ni mnyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Acheni tafadhali, kusiwe na uovu; acheni sasa, kwani mimi ni mnyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Acheni tafadhali, kusiwe na uovu; acheni sasa, kwani mimi ni mnyofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu. Tazama sura |