Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 6:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Sasa basi iweni radhi kuniangalia; Kwani hakika sitanena uongo usoni penu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Lakini sasa niangalieni tafadhali. Mimi sitasema uongo mbele yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Lakini sasa niangalieni tafadhali. Mimi sitasema uongo mbele yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Lakini sasa niangalieni tafadhali. Mimi sitasema uongo mbele yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 “Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 “Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu?

Tazama sura Nakili

Yobu 6:28
6 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?

Lakini ninyi hubuni maneno ya uongo, Ninyi nyote ni matabibu wasiofaa.

Na kama sivyo sasa, ni nani atakayenihukumu mimi kuwa ni mwongo, Na kuyafanya maneno yangu kuwa si kitu?

Hakika midomo yangu haitanena yasiyo haki, Wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.

Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu.

Maana hakika maneno yangu si ya uongo; Aliyekamilika katika maarifa yu pamoja nawe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo