Yobu 6:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Naam, mwapenda kuwapigia kura hao mayatima, Na kufanya biashara ya rafiki yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Nyinyi mnathubutu hata kuwapigia yatima kura; mnawapigia bei hata marafiki zenu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Nyinyi mnathubutu hata kuwapigia yatima kura; mnawapigia bei hata marafiki zenu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Nyinyi mnathubutu hata kuwapigia yatima kura; mnawapigia bei hata marafiki zenu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali. Tazama sura |