Yobu 6:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Nifunzeni, nami nitanyamaa kimya; Mkanijulishe ni jambo gani nililokosa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 “Nifundisheni, nami nitanyamaza. Nielewesheni jinsi nilivyokosea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 “Nifundisheni, nami nitanyamaza. Nielewesheni jinsi nilivyokosea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 “Nifundisheni, nami nitanyamaza. Nielewesheni jinsi nilivyokosea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 “Nifundisheni, nami nitakaa kimya; nionesheni nilikokosea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 “Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya; nionyesheni nilikokosea. Tazama sura |