Yobu 6:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Misafara isafiriyo kwa njia yao hugeuka; Hukwea kwenda barani, na kupotea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Misafara hupotea njia wakitafuta maji, hupanda nyikani na kufia huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Misafara hupotea njia wakitafuta maji, hupanda nyikani na kufia huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Misafara hupotea njia wakitafuta maji, hupanda nyikani na kufia huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Misafara hugeuka kutoka njia zake; hukwea kwenda kwenye nchi ya ukiwa na kuangamia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Misafara hugeuka kutoka njia zake; hukwea kwenda kwenye nchi ya ukiwa na kuangamia. Tazama sura |