Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Yobu 6:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Wakati vipatapo moto hutoweka; Kukiwako joto, hukoma mahali pao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Lakini wakati wa joto hutoweka, wakati wa hari hubaki mito mikavu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Lakini wakati wa joto hutoweka, wakati wa hari hubaki mito mikavu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Lakini wakati wa joto hutoweka, wakati wa hari hubaki mito mikavu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 lakini hukauka majira ya ukame, na wakati wa hari hutoweka katika mikondo yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 lakini hukauka majira ya ukame, na wakati wa hari hutoweka katika mikondo yake.

Tazama sura Nakili

Yobu 6:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Eliya Mtishbi, wa wageni wa Gileadi, akamwambia Ahabu, Kama BWANA, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninasimama mbele zake, hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii, ila kwa neno langu.

Ukame na joto hukausha maji ya theluji; Kama kuzimu kuwafanyavyo watenda dhambi.

Vilivyokuwa vyeusi kwa sababu ya barafu, Ambamo theluji hujificha.

Misafara isafiriyo kwa njia yao hugeuka; Hukwea kwenda barani, na kupotea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo