Yobu 6:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Kwake huyo atakaye kuzima roho inapasa atendewe mema na rafiki; Hata kwake huyo aachaye kumcha Mwenyezi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Anayekataa kumhurumia rafiki yake, anakataa kumcha Mungu mwenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Anayekataa kumhurumia rafiki yake, anakataa kumcha Mungu mwenye nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Anayekataa kumhurumia rafiki yake, anakataa kumcha Mungu mwenye nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, hata akiacha uchaji wa Mwenyezi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi. Tazama sura |
Basi ilikuwa, hapo hizo siku za karamu zao zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao akawatakasa, kisha akaamka asubuhi na mapema, na kusongeza sadaka za kuteketezwa kama hesabu yao wote ilivyokuwa; kwani Ayubu alisema, Pengine hawa wanangu wamefanya dhambi, na kumkufuru Mungu mioyoni mwao. Ndivyo alivyofanya Ayubu sikuzote.