Yobu 5:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Wakati wa njaa atakukomboa na mauti; Na vitani atakukomboa na nguvu za upanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Wakati wa njaa atakuokoa na kifo, katika mapigano makali atakuokoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Wakati wa njaa atakuokoa na kifo, katika mapigano makali atakuokoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Wakati wa njaa atakuokoa na kifo, katika mapigano makali atakuokoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo, naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo, naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. Tazama sura |