Yobu 5:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Yeye huitangua mipango ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Huvunja mipango ya wenye hila, matendo yao yasipate mafanikio. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Huvunja mipango ya wenye hila, matendo yao yasipate mafanikio. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Huvunja mipango ya wenye hila, matendo yao yasipate mafanikio. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Huipinga mipango ya wenye hila, ili mikono yao isifikie ufanisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Huipinga mipango ya wenye hila, ili mikono yao isifikie ufanisi. Tazama sura |