Yobu 5:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Haya, ita sasa; je! Yuko atakayekujibu? Nawe utamwelekea yupi katika hao watakatifu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 “Itana, ukitaka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 “Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia? Tazama sura |