Yobu 42:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Nilikuwa nimesikia habari zako, kwa kusikia kwa masikio; Bali sasa jicho langu linakuona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kweli nilikuwa nimesikia habari zako kwa masikio tu, lakini sasa nakuona kwa macho yangu mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kweli nilikuwa nimesikia habari zako kwa masikio tu, lakini sasa nakuona kwa macho yangu mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kweli nilikuwa nimesikia habari zako kwa masikio tu, lakini sasa nakuona kwa macho yangu mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Masikio yangu yalikuwa yamesikia habari zako, lakini sasa macho yangu yamekuona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Masikio yangu yalikuwa yamesikia habari zako, lakini sasa macho yangu yamekuona. Tazama sura |