Yobu 42:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi Ayubu akafa, akiwa mzee sana mwenye kujawa na siku. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyeshiba siku. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyekuwa ameshiba siku. Tazama sura |