Yobu 41:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Je! Waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha, Au kichwa chake kwa vyusa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mgongo wake umefanywa kwa safu za ngao zilizoshikamana pamoja kama kwa mhuri, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mgongo wake umefanywa kwa safu za ngao zilizoshikamana pamoja kama kwa mhuri, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mgongo wake umefanywa kwa safu za ngao zilizoshikamana pamoja kama kwa mhuri, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Je, unaweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali, au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali, au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki? Tazama sura |