Yobu 41:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Je! Vikosi vya wavuvi watamfanyia biashara? Watamgawanya kati ya wafanyao biashara? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Nani awezaye kufungua kinywa chake? Meno yake pande zote ni kitisho! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nani awezaye kufungua kinywa chake? Meno yake pande zote ni kitisho! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nani awezaye kufungua kinywa chake? Meno yake pande zote ni kitisho! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake? Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake? Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara? Tazama sura |