Yobu 41:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Je! Utamchezea kama ndege? Au, kumfunga kwa ajili ya wasichana wako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Nani awezaye kumbambua vazi lake la nje? Nani awezaye kutoboa deraya lililovaa? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Nani awezaye kumbambua vazi lake la nje? Nani awezaye kutoboa deraya lililovaa? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Nani awezaye kumbambua vazi lake la nje? Nani awezaye kutoboa deraya lililovaa? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege, au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege, au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako? Tazama sura |