Yobu 41:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Hufanya mapito yake kung'aa nyuma yake Hata mtu angedhani kilindi kina mvi. Tazama suraMatoleo zaidiNeno: Bibilia Takatifu32 Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. Tazama sura |