Yobu 41:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Yeye hufanya kilindi kichemke kama chungu; Hufanya bahari kuwa kama chungu cha mafuta. Tazama suraMatoleo zaidiNeno: Bibilia Takatifu31 Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo, na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo, na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu. Tazama sura |