Yobu 41:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Marungu huhesabiwa kama mabua; Naye hucheka mshindo wa mkuki ukitupwa. Tazama suraMatoleo zaidiNeno: Bibilia Takatifu29 Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu; hucheka sauti za kugongana kwa mkuki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu; hucheka sauti za kugongana kwa mkuki. Tazama sura |