Yobu 41:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Mtu akimpiga kwa upanga, haumwingii; Wala fumo, wala mshale, wala mkuki wenye ncha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Huwaona kuwa si kitu wote wenye kiburi; hilo ni mfalme wa wanyama wote wakali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Huwaona kuwa si kitu wote wenye kiburi; hilo ni mfalme wa wanyama wote wakali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Huwaona kuwa si kitu wote wenye kiburi; hilo ni mfalme wa wanyama wote wakali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Upanga unaomfikia haumdhuru, wala mkuki au mshale wala fumo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Upanga unaomfikia haumdhuru, wala mkuki au mshale wala fumo. Tazama sura |