Yobu 41:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Anapojiinua, mashujaa huogopa; Kwa sababu ya woga wao huvunjwa moyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ainukapo, mashujaa wanaogopa; wanarudi nyuma mbele ya kishindo chake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ainukapo, mashujaa wanaogopa; hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo. Tazama sura |