Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 41:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Moyo wake una uimara kama jiwe; Naam, uimara kama jiwe la chini la kusagia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Lipitapo huacha nyuma alama inayongaa; povu jeupe huonekana limeelea baharini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Lipitapo huacha nyuma alama inayongaa; povu jeupe huonekana limeelea baharini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Lipitapo huacha nyuma alama inayong'aa; povu jeupe huonekana limeelea baharini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia.

Tazama sura Nakili




Yobu 41:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Minofu ya nyama yake hushikamana; Yanakazana juu yake; hayawezi kuondolewa.


Anapojiinua, mashujaa huogopa; Kwa sababu ya woga wao huvunjwa moyo.


Kwa sababu nilijua ya kuwa wewe u mkaidi, na shingo yako ni shingo ya chuma, na kipaji cha uso wako ni shaba;


Ee BWANA, macho yako je! Hayaangalii uaminifu? Umewapiga, lakini hawakuhuzunika; umewakomesha, lakini wamekataa kurudiwa wamefanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko mwamba wamekataa kurudi.


Naam, walifanya mioyo yao kuwa kama jiwe gumu, wasije wakaisikia sheria na maneno ya BWANA wa majeshi, aliyoyatuma kwa roho yake, kwa mkono wa manabii wa kwanza; kwa sababu hiyo ghadhabu kuu ikatoka kwa BWANA wa majeshi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo