Yobu 41:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Minofu ya nyama yake hushikamana; Yanakazana juu yake; hayawezi kuondolewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Bahari huisukasuka kama maji yachemkayo, huifanya itoe povu kama chupa ya mafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Bahari huisukasuka kama maji yachemkayo, huifanya itoe povu kama chupa ya mafuta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Bahari huisukasuka kama maji yachemkayo, huifanya itoe povu kama chupa ya mafuta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; iko imara na haiwezi kuondolewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; iko imara na haiwezi kuondolewa. Tazama sura |