Yobu 41:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Moshi hutoka katika mianzi ya pua yake, Kama nyungu ikitokota, na manyasi yawakayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mshale hauwezi kulifanya likimbie; akitupiwa mawe ya teo huyaona kama makapi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mshale hauwezi kulifanya likimbie; akitupiwa mawe ya teo huyaona kama makapi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mshale hauwezi kulifanya likimbie; akitupiwa mawe ya teo huyaona kama makapi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Moshi hufuka kutoka puani mwake, kama kutoka chungu kinachotokota kwa moto wa matete. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Moshi hufuka kutoka puani mwake, kama kutoka kwenye chungu kinachotokota kwa moto wa matete. Tazama sura |