Yobu 41:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Kwa kuchemua kwake mwanga humemetuka, Na macho yake yanafanana na koze za alfajiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Akipiga chafya mwanga humetameta; macho yake ni kama miali ya mapambazuko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Akipiga chafya mwanga humetameta; macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. Tazama sura |