Yobu 41:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Yamefungamana pamoja; Yameshikamana, hata hayawezi kutengwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Linapoinuka, mashujaa hushikwa na woga, kwa pigo moja huwa wamezirai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Linapoinuka, mashujaa hushikwa na woga, kwa pigo moja huwa wamezirai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Linapoinuka, mashujaa hushikwa na woga, kwa pigo moja huwa wamezirai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine; zimeng’ang’aniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine; zimeng’ang’aniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa. Tazama sura |