Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 41:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Sitanyamaa kusema habari za via vyake, Wala nguvu zake kuu, wala umbo lake zuri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Puani mwake hufuka moshi, kama vile chungu kinachochemka; kama vile magugu yawakayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Puani mwake hufuka moshi, kama vile chungu kinachochemka; kama vile magugu yawakayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Puani mwake hufuka moshi, kama vile chungu kinachochemka; kama vile magugu yawakayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 “Sitashindwa kunena kuhusu maungo yake, nguvu zake na umbo lake zuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 “Sitashindwa kunena juu ya maungo yake, nguvu zake na umbo lake zuri.

Tazama sura Nakili




Yobu 41:12
3 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akaumba aina zote za wanyama wa porini na wa kufugwa na viumbe vyote vitambaavyo nchini; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.


Ni nani aliyetangulia kunipa hata nimlipe? Kila kilicho chini ya mbingu nzima ni changu.


Ni nani awezaye kumbambua magamba yake? Ni nani atakayepenya dirii yake maradufu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo