Yobu 41:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Hapana aliye mkali hata akathubutu kumwamsha; Bali ni nani awezaye kusimama mbele yangu mimi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Likipiga chafya, mwanga huchomoza, macho yake humetameta kama jua lichomozapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Likipiga chafya, mwanga huchomoza, macho yake humetameta kama jua lichomozapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Likipiga chafya, mwanga huchomoza, macho yake humetameta kama jua lichomozapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? Tazama sura |