Yobu 40:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Je! Mtu yeyote atamnasa akiwa yu macho, Au, kumtoboa pua yake kwa mtego? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Nani awezaye kuliziba macho na kuliteka? Nani awezaye kulitoboa pua kwa mtego? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Nani awezaye kuliziba macho na kuliteka? Nani awezaye kulitoboa pua kwa mtego? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Nani awezaye kuliziba macho na kuliteka? Nani awezaye kulitoboa pua kwa mtego? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Je, mtu yeyote anaweza kumkamata yeye akiwa macho, au kumnasa kwa mtego na kutoboa pua yake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Je, mtu yeyote anaweza kumkamata yeye akiwa macho, au kumnasa kwa mtego na kutoboa pua yake? Tazama sura |