Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 40:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Tazama, mto ukifurika, yeye hatetemeki; Hujiona yu salama, ijapokuwa Yordani hufurika hata kinywani pake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Mto ukifurika haliogopi, halitishiki hata mto Yordani ukilifurikia kinywani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Mto ukifurika haliogopi, halitishiki hata mto Yordani ukilifurikia kinywani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Mto ukifurika haliogopi, halitishiki hata mto Yordani ukilifurikia kinywani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Mto unapofurika, yeye hapati mshtuko wa hofu; yeye yu salama, hata kama Yordani ingefurika hadi kwenye kinywa chake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wakati mto ufurikapo, yeye hapati mshtuko wa hofu; yeye yu salama, hata kama Yordani ingefurika hadi kwenye kinywa chake.

Tazama sura Nakili




Yobu 40:23
7 Marejeleo ya Msalaba  

Lutu akainua macho yake, akaliona Bonde lote la Yordani, ya kwamba lote pia lina maji, kabla BWANA hajaharibu Sodoma na Gomora, lilikuwa kama bustani ya BWANA, kama nchi ya Misri hapo unapokwenda Soari.


Hiyo miti yenye vivuli humfunika kwa vivuli vyao; Mierebi ya vijito humzunguka.


Je! Mtu yeyote atamnasa akiwa yu macho, Au, kumtoboa pua yake kwa mtego?


Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani.


kwa ajili ya hayo Bwana, MUNGU, asema hivi, Tazama, naweka jiwe katika Sayuni, liwe msingi, jiwe lililojaribiwa, jiwe la pembeni lenye thamani, msingi ulio imara; yeye aaminiye hatafanya haraka.


Nimechimba na kunywa maji, na kwa nyayo za miguu yangu nitaikausha mito yote ya Misri.


basi hao waliolichukua hilo sanduku walipofika Yordani, na nyayo za makuhani waliolichukua sanduku zilipotiwa katika maji ya ukingoni, (maana Yordani hujaa hata kingo zake na kufurika wakati wote wa mavuno),


Tufuate:

Matangazo


Matangazo