Yobu 40:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Hakika milima humtolea chakula; Hapo wachezapo wanyama pori wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Milima wanamocheza wanyama wote wa porini hutoa chakula chake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Milima wanamocheza wanyama wote wa porini hutoa chakula chake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Milima wanamocheza wanyama wote wa porini hutoa chakula chake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama pori wote hucheza karibu naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Vilima humletea yeye mazao yake, nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye. Tazama sura |