Yobu 40:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Yeye hutikisa mkia wake mfano wa mwerezi; Mishipa ya mapaja yake yanaungamana pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Huufanya mkia wake mgumu kama mwerezi, mishipa ya mapaja yake imeshonwa pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Huufanya mkia wake mgumu kama mwerezi, mishipa ya mapaja yake imeshonwa pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Huufanya mkia wake mgumu kama mwerezi, mishipa ya mapaja yake imeshonwa pamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Mkia wake hutikisika kama mwerezi; mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Mkia wake hutikisika kama mwerezi; mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. Tazama sura |