Yobu 40:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Tazama basi, nguvu zake zimo katika viuno vyake, Na uwezo wake u katika mishipa ya tumbo lake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 lakini mwilini lina nguvu ajabu, na misuli ya tumbo lake ni imara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 lakini mwilini lina nguvu ajabu, na misuli ya tumbo lake ni imara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 lakini mwilini lina nguvu ajabu, na misuli ya tumbo lake ni imara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! Tazama sura |