Yobu 40:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Mwangalie huyo kiboko, niliyemwumba pamoja nawe; Yeye hula nyasi kama ng'ombe, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 “Liangalie lile dude Behemothi, nililoliumba kama nilivyokuumba wewe. Hilo hula nyasi kama ng'ombe, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 “Liangalie lile dude Behemothi, nililoliumba kama nilivyokuumba wewe. Hilo hula nyasi kama ng'ombe, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 “Liangalie lile dude Behemothi, nililoliumba kama nilivyokuumba wewe. Hilo hula nyasi kama ng'ombe, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 “Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi, niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe, anayekula majani kama ng’ombe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi, niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe, anayekula majani kama ng’ombe. Tazama sura |