Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yobu 40:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Ndipo mimi nami nitazikiri habari zako, Ya kuwa mkono wako wa kulia waweza kukuokoa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Hapo nitakutambua, kwamba nguvu yako mwenyewe imekupa ushindi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Hapo nitakutambua, kwamba nguvu yako mwenyewe imekupa ushindi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Hapo nitakutambua, kwamba nguvu yako mwenyewe imekupa ushindi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa.

Tazama sura Nakili




Yobu 40:14
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wafiche mavumbini pamoja, Wafunge nyuso zao mahali palipositirika.


Mwangalie huyo kiboko, niliyemwumba pamoja nawe; Yeye hula nyasi kama ng'ombe,


Maana hawakuitwaa nchi kwa upanga wao, Wala hawakupata ushindi kwa mkono wao; Bali mkono wako wa kulia, naam, mkono wako, Na nuru ya uso wako, kwa kuwa ulipendezwa nao.


Maana sitautumainia upinde wangu, Wala upanga wangu hauwezi kuniokoa.


Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.


Kwa maana hapo tulipokuwa hatuna nguvu, wakati ulipotimia, Kristo alikufa kwa ajili ya waovu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo