Yobu 4:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Tazama, wewe umewafunza watu wengi, Nawe umeitia nguvu mikono iliyokuwa minyonge. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono ya wanyonge. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono ya wanyonge. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Sikiliza! Wewe umewafundisha wengi, na kuiimarisha mikono ya wanyonge. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Fikiri jinsi umewafundisha watu wengi, jinsi umeitia nguvu mikono iliyokuwa dhaifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, jinsi ambavyo umeitia nguvu mikono iliyokuwa dhaifu. Tazama sura |