Yobu 4:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Je! Kamba ya hema yao haikung'olewa ndani yao? Nao hufa hata bila kuwa na hekima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Iwapo uzi unaoshikilia uhai wao ukikatwa wao hufa tena bila kuwa na hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Iwapo uzi unaoshikilia uhai wao ukikatwa wao hufa tena bila kuwa na hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Iwapo uzi unaoshikilia uhai wao ukikatwa wao hufa tena bila kuwa na hekima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Je, kamba za hema lao hazikung’olewa, hivyo hufa bila hekima?’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Je, kamba za hema yao hazikung’olewa, hivyo hufa bila hekima?’ Tazama sura |