Yobu 4:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Je! Si zaidi sana hao wakaao katika nyumba za udongo, Ambazo misingi yao i katika mchanga, Hao wanaopondwa kama nondo! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 sembuse binadamu viumbe vya udongo, watu ambao chanzo chao ni mavumbi, ambao waweza kupondwapondwa kama nondo! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 sembuse binadamu viumbe vya udongo, watu ambao chanzo chao ni mavumbi, ambao waweza kupondwapondwa kama nondo! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 sembuse binadamu viumbe vya udongo, watu ambao chanzo chao ni mavumbi, ambao waweza kupondwapondwa kama nondo! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 ni mara ngapi zaidi wale wanaoishi katika nyumba za udongo wa mfinyanzi, ambazo misingi yake ipo mavumbini, ambao wamepondwa kama nondo! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba za udongo wa mfinyanzi, ambazo misingi yake ipo mavumbini, ambao wamepondwa kama nondo! Tazama sura |