Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 4:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Tazama, yeye hawategemei watumishi wake; Na malaika wake huwahesabia kosa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Ikiwa Mungu hawaamini watumishi wake, ikiwa yeye huwalaumu malaika wake kwa kukosea,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kama Mungu hawaamini watumishi wake, kama yeye huwalaumu malaika zake kwa kukosea,

Tazama sura Nakili




Yobu 4:18
9 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Mtu awaye yote atamfundisha Mungu maarifa? Naye ndiye awahukumuye walioko juu.


Basi mtu awezaje kuwa na haki mbele ya Mungu? Au awezaje kuwa safi aliyezaliwa na mwanamke?


Huwafanya malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa moto wa miali.


Kwa maana ikiwa Mungu hakuwaachilia malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni, akawatia katika vifungo vya giza, walindwe hata ije hukumu;


Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo