Yobu 4:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Hofu iliniangukia na kutetemeka, Iliyoitetemesha mifupa yangu yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 nilishikwa na hofu na kutetemeka, mifupa yangu yote ikagonganagongana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 nilishikwa na hofu na kutetemeka, mifupa yangu yote ikagonganagongana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 nilishikwa na hofu na kutetemeka, mifupa yangu yote ikagonganagongana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 hofu na kutetemeka kulinishika na kufanya mifupa yangu yote itetemeke. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 hofu na kutetemeka kulinishika na kufanya mifupa yangu yote itetemeke. Tazama sura |