Yobu 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Katika mawazo yaliyotoka katika maono ya usiku, Hapo usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nikiwa katika mawazo ya njozi za usiku, wakati usingizi mzito huwashika watu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nikiwa katika mawazo ya njozi za usiku, wakati usingizi mzito huwashika watu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nikiwa katika mawazo ya njozi za usiku, wakati usingizi mzito huwashika watu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, Tazama sura |